Naibu waziri, Wizara ya Katiba na Sheria Mhe. Jumanne Sagini(MB) ameanza ziara ya kikazi Mkoani Katavi leo Desemba 18, 2024.
Awali Mhe. Sagini amekutana na Mkuu wa Mkoa wa Katavi, Mhe. Mwanamvua Mrindoko na kuahidi kuwa Wizara ya Katiba na Sheria itashirikiana na Watendaji wa Mahakama kuhakikisha Ujenzi wa Kituo jumuishi cha Haki ngazi ya Mahakama Kuu Mpanda kinajengwa haraka ili Wananchi wa mkoa wa Katavi wasilazimike kwenda mikoa jirani kufuata huduma za kimahakama.
Mpanda-Katavi (Mkoani Area)
Sanduku la Barua: Box 235, Mpanda -Katavi
simu: 025-2957108
Mobile:
Barua pepe: ras.katavi@tamisemi.go.tz
Copyright@2017 Katavi Rs. All right reserved