Motisha kwa mfanyakazi ni miongoni mwa mbinu za kuongeza ari ya kufanya kazi kwa bidii na maarifa katika sehemu za kazi. Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ina utaratibu wa kutoa zawadi kila mwaka Mei Dei kwa wafanyakazi wanaotimizi wajibu wao vizuri na kuleta matokeo mazuri katika utoaji wa huduma kwa wananchi. Mei Dei , 2021 serikali katika Mkoa wa Katavi imetoa zawadi kwa wanyakazi wake kutoka Halmashauri zake na kwa wafanyakazi wa mashirika ya umma. Hongera serikali kwa hatua hiyo
Mpanda-Katavi (Mkoani Area)
Sanduku la Barua: Box 235, Mpanda -Katavi
simu: 025-2957108
Mobile:
Barua pepe: ras.katavi@tamisemi.go.tz
Copyright@2017 Katavi Rs. All right reserved