• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
Katavi Regional Website
Katavi Regional Website

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Tovuti ya Mkoa wa Katavi

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Maono na Dhamira
  • Huduma
  • Utawala
    • Idara
      • Utawala na bRasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Halmashauri
      • Miundombinu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • maji
      • Afya
      • Elimu
    • Vitengo
      • Teknolojia ya Habari na Mawasiliano
      • Idara ya Fedha na Uhasibu
      • Manunuzi
      • Sheria
      • Mkaguzi wa Ndani
    • Muundo wa Taasisi
  • Machapisho
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Videos
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
  • Wilaya
    • Mpanda
    • Mlele
    • Tanganyika
  • Fursa za Uwekezaji
    • Kilimo
    • Livestock
    • Industry and Fishing
    • Minerals
    • Fishing
  • Utalii
    • Katavi National Park
    • Nkondwe Waterfalls
  • Biashara

Maadhimisho Wiki ya Maziwa Kitaifa kufanyika Katavi, RC Katavi awahimiza Wananchi/Wadau kushiriki kikamilifu.

Posted on: May 25th, 2022

Na:John Mganga –Katavi RS

Mkuu wa Mkoa wa Katavi Mh.Mwanamvua Mrindoko ametoa wito kwa  Wafugaji Wadau mbalimbali wazalishaji wa bidhaa za Maziwa pamoja na Wananchi ndani na Nje ya Mkoa wa Katavi kushiriki kikamilifu katika Maadhimisho ya Siku ya Wiki ya Maziwa yanayotarajiwa kuanza rasmi siku ya Tarehe 27 Mwezi Mei 2022 na kumalizika Tarehe 01 Juni 2022.

Mh.Mrindoko amesema Mkoa wa Katavi umepewa heshima kwa mara nyingine tena kuwa mwenyeji wa  maadhimisho ya Siku ya Maziwa Kitaifa na kwamba hatua hiyo ni fursa kwa Wadau wazalishaji wa bidhaa za Maziwa pamoja na Wananchi Mkoani Katavi.

Akizungumza na Waandishi wa Habari Ofisini kwae Mhe.Mrindoko amesema Maadhimisho hayo yatafanyika katika Uwanja wa CCM azimio ndani ya Manispaa ya Mpanda.

Amesema lengo la madhimisho hayo  kwa kila mwaka ni kufanya uelimishaji endelevu kwa wadau mbalimbali na Wananchi kuhusu umuhimu wa Unywaji wa Maziwa pamoja na umuhimu wa unywaji wa maziwa yaliyosindikwa pamoja na kuelezea umuhimu wake katika Lishe.

Mhe.Mkuu wa Mkoa amesema lengo la Mkoa wa Katavi ni kuhakikisha kuwa unaongeza Uzalishaji wa Maziwa kwa wingi pamoja na kupanua wigo wa uanzishwaji wa Viwanda vya  Usindikaji wa maziwa.

Katika maadhimisho hayo shughuli mbalimbali zinatarajiwa kufanyika ikiwa ni pamoja na maonyesho ya bidhaa mbalimbali za Maziwa,Elimu kuhsu namna bora ya kusindika Maziwa.

Aidha maadhimisho hayo yataambatana na shughuli ya kutembelea mashamba ya wafugaji kwa lengo la kuwaelimisha matumizi mbalimbali ya teknolojia ya kisasa ya Ufugaji wa Ngombe wa Maziwa pamoja na upatikanaji wake.

Maadhimisho ya Wiki ya Maziwa Kitaifa Mkoani Katavi yanabeba Kaulimbiu inayosema Kunywa Maziwa yaliyosindikwa Tanzania Kwa Lishe Bora na Salama.

Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI DESEMBA 2024 December 12, 2024
  • UCHAGUZI WA WANAFUNZI WA KIDATO CHA KWANZA 2025 December 16, 2024
  • MATOKEO YA KIDATO CHA PILI 2024 January 04, 2025
  • MATOKEO YA DARASA LA SABA 2024 January 04, 2025
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • BASATA YAWAPIGA MSASA MAAFISA UTAMADUNI NA BIASHARA KATAVI MFUMO WA AMIS NA TAUSI

    May 20, 2025
  • KATAVI KUANZA KUTUMIA UMEME WA GRID YA TAIFA MEI 20,2025.

    May 15, 2025
  • KATAVI YAZIDI KUNG'ARA UUZAJI WA KABONI

    May 13, 2025
  • MABADILIKO YA MAJIMBO YA UCHAGUZI

    May 12, 2025
  • Tazama Zote

Video

UZINDUZI RATIBA YA SAFARI ZA NDEGE ATCL SIKU YA JUMATATU 23 MEI 2022
Video zinginezo

Wavuti wa Haraka

  • SALARY SLIP PORTAL
  • FURSA ZA UTALII KATUMA MKOANI KATAVI
  • KATAVI RS HABARI
  • KATAVI RS HABARI YOUTUBE

Wavuti mwambata

  • Mpanda Municipal Council
  • Mpimbwe District Council
  • Mpanda District Council
  • Nsimbo District Council
  • Mlele District Council
  • Tovuti ya utumishi

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

click here

Ramani

Wasiliana nasi

    Mpanda-Katavi (Mkoani Area)

    Sanduku la Barua: Box 235, Mpanda -Katavi

    simu: 025-2957108

    Mobile:

    Barua pepe: ras.katavi@tamisemi.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera za Falagha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • ramani
    • Huduma

Copyright@2017 Katavi Rs. All right reserved