Wahitimu wa Mafunzo ya kutengeneza Chaki wakiwa katika picha ya pamoja baada ya kukabidhiwa vyeti vya kuhitimu mafunzo hayo yaliyoendeshwa na SIDO chini ya Mkufunzi Bi.Salome Charles Mwasomola. Mafunzo hayo yalianza tarehe 06/9/2017 na kukamilika tarehe 11/09/2017. Wahitimu hao walikabidhiwa vyeti vyao na Afisa Maendeleo ya Jamii toka Halmashauri ya Manispaa ya Mpanda Bw.Linus Kalindo. Kiwanda hicho cha Chaki kinachoitwa Cooperation Nsemulwa kipo Mtaa wa Nsemulwa Mjini Mpanda ambacho kinategemea kuanza uzalishaji wa Chaki mwishoni mwa mwezi Septemba. Kiwanda hicho kina uwezo wa kuzalisha chaki 400 kwa dakika tano.
Mpanda-Katavi (Mkoani Area)
Sanduku la Barua: Box 235, Mpanda -Katavi
simu: 025-2957108
Mobile:
Barua pepe: ras.katavi@tamisemi.go.tz
Copyright@2017 Katavi Rs. All right reserved