Kampeni ya utoaji wa Matone ya Vitamin A na Dawa za Minyoo ya Tumbo.
Ni kuanzia tarehe 01 mpaka tarehe 31 Desemba 2024, Huduma itatolewa bure katika vituo vyote vya kutolea huduma za Afya, Kuanzia Saa 1:30 Asubuhi hadi Saa 9:30 Alasiri
Mpanda-Katavi (Mkoani Area)
Sanduku la Barua: Box 235, Mpanda -Katavi
simu: 025-2957108
Mobile:
Barua pepe: ras.katavi@tamisemi.go.tz
Copyright@2017 Katavi Rs. All right reserved