Kupata salary slip nenda kwenye link ya Tovuti muhimu halafu bonyeza Watumishi Portal ili uweze kujisajili, kama unahitaji msaada namna ya kujisajili ili kuweza kupata salary slip yako wasiliana na Afisa Habari au TEHAMA wa Mkoa ili wakusaidie bila gharama yeyote.
Zingatia yafuatayo:
Pata taarifa zako za kila mwezi hapa.
Mpanda-Katavi (Mkoani Area)
Sanduku la Barua: Box 235, Mpanda -Katavi
simu: 025-2957108
Mobile:
Barua pepe: ras.katavi@tamisemi.go.tz
Copyright@2017 Katavi Rs. All right reserved