Eng. Awariya M. Nko
Kaimu Katibu Tawala Msaidizi Uchumi na Uzalishaji
Seksheni ya Uchumi na Uzalishaji
Seksheni yaUchumi na Uzalishaji ina lengo la kutoa uwezeshaji wa kitaalamu kuhusu sekta zauchumi na uzalishaji kwa Mamlaka za Serikali za Mitaa katika Mkoa. Seksheni hiiinaongozwa na Katibu Tawala Msaidizi ambaye anawajibika kwa Katibu Tawala waMkoa
Majukumu ya Seksheni yaUchumi na Uzalishaji
•Kuratibuutekelezaji wa sera za Kilimo, Mifugo, Ushirika, Misitu, Uhifadhi, Uvuvi,Viwanda, Biashara na Masoko katika Mkoa
•Kuzijengeauwezo Mamlaka za Serikali za Mitaa katika Mkoa katika kutoa huduma kwenyenyanja za Kilimo, Mifugo, Ushirika, Misitu, Uhifadhi, Uvuvi, Viwanda, Biasharana Masoko
•Kuzisaidiana kuzishauri Mamlaka za Serikali za Mitaa juu ya teknolojia zinazofaa na zagharama nafuu katika sekta za uchumi na uzalishaji
•Kusajilivyama/vikundi vya ushirika katika Mkoa
•KuzishauriMamlaka za Serikali za Mitaa katika juu ya uanzishaji/uimarishaji na ukaguzi wavyama vya Ushirika na Akiba na Mikopo
•Kusaidia nakuzishauri Mamlaka za Serikali za Mitaa juu ya kuzisimamia kampuni ndogo na zakati
•Kuzisaidiana kuzishauri Mamlaka za Serikali za Mitaa katika kutambua maeneo nyeti yauwekezaji
•Kuzisaidiana kuzishauri Mamlaka za Serikali za Mitaa katika kuendeleza na kukuza sekta yauvuvi na kuzalisha kisasa
•Kusimamia,kuratibu na kuwezesha masuala yanayohusiana na misitu katika Mkoa
•KuzishauriMamlaka za Serikali za Mitaa katika usimamizi wa sheria za kulinda wanyamapori
•KuzishauriMamlaka za Serikali za Mitaa katika kuendeleza maeneo ya wanyamapori
•KuzishauriMamlaka za Serikali za Mitaa katika kusimamia utalii, idadi ya wanyamapori namienendo yao/safari zao
•KuziwezeshaMamlaka za Serikali za Mitaa katika kutekeleza sheria ya Mazingira No. 2 yamwaka 2004
•Kutoa ujuziwa kitaalamu kwa Mamlaka za Serikali za Mitaa kwenye masuala yanayohusiana namaeneo/miradi ya umwagiliaji
•Kuratibuutekelezaji wa uboreshaji wa taratibu za biashara katika Mkoa
Mpanda-Katavi (Mkoani Area)
Sanduku la Barua: Box 235, Mpanda -Katavi
simu: 025-2957108
Mobile:
Barua pepe: ras.katavi@tamisemi.go.tz
Copyright@2017 Katavi Rs. All right reserved