Ndugu wananchi wote wa Mkoa wa Katavi, mnatangaziwa kwamba kwa sasa Mkoa umeshatengeneza Tovuti yake yenye kikoa au domain ya www.katavi.go.tz kwa hiyo mwananchi yeyote mwenye lalamiko au malalamiko ambayo yameshindikana katika ngazi nyingine za chini wanakaribishwa katika tovuti yetu waingie na kujaza malalamiko yao wakiwa na namba ya simu pamoja na barua pepe yake au email address nayo yatashughulikiwa na kujibiwa mapema iwezekanavyo.
Mpanda-Katavi (Mkoani Area)
Sanduku la Barua: Box 235, Mpanda -Katavi
simu: 025-2957108
Mobile:
Barua pepe: ras.katavi@tamisemi.go.tz
Copyright@2017 Katavi Rs. All right reserved